A song made by mborogoma 🦁 khan
A song made by mborogoma 🦁 khan
Call me Caleb karusi boy from nyak
Caleb'art
1) leo ningali hayi,acha nishukuru
Duniani tuko wapangai,Ila kwa wema wenu nashukuru
Kwanza, naanza namungu mwenyezi,
Pili asante wazazi, wangu kwa malezi
Mpaka apa kwenye nafika,mulinipambaniya
Rest in peace my dear sister, fifi karusi and Bora nyaruke karusi,
Mungu awalaze mahali pena peponi, muliniunga mukono kipindi Niko ku masomo
Maisha marefu apa mborogoma n'a mamangu,
Meda karusi,balume karusi,ruta Tito na neema karusi acha mungu awalinde nawashukuru,mulinishika mukono, mulijiima Ili nipate,na kwa shida tulichangiya mukate,
Nimepata wakati,acha niwashukuru
Nawapenda sana ndo mana nawashukuru
Hatuya acha ila ni kumbukumbu
Na asiye shukuru ni kafiri
Bila kusahau m'y big brother DJ lofo LG, mungu akulinde na akupe maisha mema marefu, ulinidjali,unanipenda n'a ilivyo nifanyiya ni vingi my brother,
Big up janvier Mariano, Michael takwisoni, n'a Nathan lukendo, familiya ya kweli, asante kwa kunidjali kwa upendo na kunishika mikono,
Mukono wangu ni mufupi kulipia wema wenu,basi acha niwashukuru kwa ulimu wangu, asante ndugu yangu
Nimepata wakati acha niwashukuru
Nawapenda sana ndo mana nawashukuru
Hatuya achana Ila ni kumbukumbu
Na asiye shukuru ni kafiri
Sans oublier mes collègues de classe avec qui nous avons sué sang et eau ensemble,
Depuis nos bas âges jusqu'aujourd'hui, que Dieu vous bénisse
À vous aussi MUHINDO Karasisi alfa, ushindi KAIJUKA, Ezekiel ndagoragora,rubben busaika et les autres merci pour vos aides et conseils, je vous aimes bien,
Nawashukuru wote,asante kwa yote na nawapenda wote,kwa msaada ya yali yote.
Nimepata wakati acha niwashukuru
Nawapenda sana ndo mana nawashukuru
Hatuya achana Ila ni kumbukumbu
Na asiye shukuru ni kafiri
Kwenye maisha, kuna wakati mugumu nilipitiya
Bila kubisha mungu akaleta watu wakafungula njia,
Nawashukuru sana grand dieudo, derrick motema, penuel bwira, Enock mutunzi, erige chorimpa,ben benjamin n'a kiza el tyran muishi milele,
Kutoka nyak, ishasha,goma mpaka Uganda ningufu yawatu fulani, wanajijuwa jamani, sitataja majina, Ila nawashukuru sana
Kwa mwisho nawaombea maisha marefu, mema n'a yenye furaha,sisi siyo milima one day tutakutana, safari bado inaendelea,
Nimepata wakati acha niwashukuru
Nawapenda sana ndo mana nawashukuru
Hatuya achana Ila ni kumbukumbu tu
Na asiye shukuru ni kafiri,
In god we trust
Call me Caleb'art boy from nyak